Sunday, August 3, 2008

MJI WA TANGA KWA MTAZAMO WANGU






Tanga ni mji mtulivu, usagari, mji ulio na mazingira mazuri yanayopozwa na upepo wa bahari. Ni halamashauji wa mazingira. labda kwa sababu sio mkubwa sana, lakini pia kwa upatikanaji wa maji ya uhakika muda wote. Mji uliopangwa kwa mitaa vizuri japo majengo yake hayana ulazima wa kuwa na viwango vya miji mikubwa, mfano, katikati ya mji kukuta nyumba ya makuti, au ya udongo kabisa.

2 comments:

Anonymous said...

Kama city council iko hivyo kweli tanga iko bomba jamani.

Anonymous said...

Karibu uje kutembelea Tanga.