Monday, August 4, 2008

MAZINGIRA YA SHULE ZENU ZA WANANCHI





Shule za wananchi zimejengwa kwa bidii zote, haswa shule za sekondari..wananchi wamejitahidi sana, walau majengo ya msingi yamepatikana japo kwa uchache, changamoto za waalimu na wanafunzi ni kuhakikisha wanatunza mazingira ya shule hizi kwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti ya kivuli na matunda, pamoja na kupanda majani yanayovutia. Pichani ni moja ya shule jijini Tanga ambayo mwaka huu ilipata tuzo ya utunzaji wa mazingira, kwa upande wa shule za sekondari. Sgule hii inaitwa Toledo sekondari.
Wadau mnazungumziaje mazingira ya shule hizi??










No comments: