Saturday, August 2, 2008

KASI YA UJENZI WA SHULE ZA WANANCHI










Ongezeko la wanafunzi wanaomaliza darasa la saba kwa wingi nchini kumeleta changamoto mbaliambali ikiwemo ya kuhakikisha ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari unakwenda sambamba na kasi hiyo. Ujenzi huo ambao umetegemea zaidi nguvu za wananchi, haujaweza kuwa wa wananchi wote kama inavyokusudiwa, bali wazazi wa wanafunzi wasomao katika shule hizo. Kwakuwa na kipato chao ni kidogo, ubora wa majengo nao unakuwa hafifu kwa kuwa wanajenga kulingana na fedha walizo nazo. Wadau mnasemaje??

1 comment:

Anonymous said...

Kweli iko kazi kuendesha shule hizi