Wednesday, August 6, 2008

USAFIRI MAARUFU TANGA

Akina mama hawa wana ''bageini'' kupata usafiri wa
kwenda maeneo mbalimbali ya jiji la Tanga.
Harakati ya kuwahi nyumbani baada ya kazi.
Ndani ya mtandio, lakini kwa baiskeli ndo easy kwa Tanga !

No comments: