Sunday, August 3, 2008

MATUMIZI YA TECHNOLOJIA KWA MAWASILIANO NA URAHISI WA KAZI

Matumizi ya kompyuta kwa mawasiliano unayakubali kiasi gani??
Una kompyuta ofisini au nyumbani, umeweza kuitumiaje kupunguza muda wako wa kufanya kazi zako za kiofisi au binafsi.
Unadhani ni nani ambao haswa wanapaswa kujitahidi kuanza kutumia technolojia ya habari na mawasiliano?? Toka habari za matumizi ya Kompyuta kwa mawasiliano ulipoanza kusikia, kwa kiasi gani umewaza kuwa mmoja wa watumiaji??
Unajua kwamba zaidi ya kukurahisishia kazi zako za ofisi au binafsi, unaweza kutumia kompyuta nyumbani kama sehemu ya ''refreshment'??
Hakuna mpaka sasa anayeweza kupingana na ukweli wa umuhimu wa matumizi ya teknolojia mbalimbalia ikiwemo matumizi ya kompyuta kwa mawasiliano(Email), habari (Internet) na kwa kujifurahisha (browsing). Anyway, huo ni mtazamo wangu, wewe una mtazamo gani kwenye hili??


1 comment:

Anonymous said...

Sasa sam jamani masharti ya ofc yenu ni kuvaa suti au ndio ubunge huo? Inaonesha ni jinsi gani ulivyo mtu wa teknolojia ya kisasa kila mahali wewe na laptop tu, maziwa unakunywa lakini maana mambo ya mionzi hayo. Keep it up na mtazamo wako