Sunday, August 3, 2008

UTALII KATIKA JIJI LA TANGA

Mji wa Tanga umejaaliwa na vivutio mbalimbali, kati ya hivyo ni mapango ya Amboni yaliyo km chache sana toka katikati ya mji. Ni mapango yanayovutia wataalii wengi sana wakiwemo hawa wa ndani, lakini wengi na wa nje. Baadhi ya wakazi wa Tanga hata hawayajui japo wamezaliwa tanga mjini. hongereni wadau kwa utalii wenu.



1 comment:

Anonymous said...

Duh, kweli wadau hongereni sana.. sijui mmelipia au mnatumia utalii wetu bure bila malipo?? Msiitie nchi umaskini nyie, muwe mnalipa banaa.